Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga imeandika rekodi za kibabe mechi dhidi ya Kagera

Yanga Kagera ,msgz.jpeg Yanga imeandika rekodi za kibabe mechi dhidi ya Kagera

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia mchezo wa Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar ambao ulimalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0 katika Dimba la Azam Complex Chamazi jana, hizi ni rekodi zilizoandikwa.

Yanga imekuwa klabu pekee msimu huu iliyoshinda dhidi ya timu zote kumi na tano (15) za ligi kuu Tanzania bara.

Mpaka sasa, Yanga ndio klabu pekee iliyoshinda kwa 100% michezo yake yote ya nyumbani. Yanga hajatoa sare au kupoteza msimu huu kwenye mechi za nyumbani.

Vinara wa clean-sheets Ligi Kuu:

1. Michezo 22, clean-sheets 13 — Djigui Diarra.

2. Michezo 25, clean-sheets 11 — Ley Matampi.

3. Michezo 23, clean-sheets 09 — Costantine Deusdedith.

4. Michezo 22, clean-sheets 08 — John Noble.

◉ Yanga wameruhusu goli 1 pekee katika mechi (10) za mwisho overall. Cleansheets (9) katika michezo (10) kwa Djigui Diarra Cleansheets nyingi per game kuliko Golikipa yoyote Tanzania msimu huu so far.

◎ 0 - 0 Mamelodi Sundowns

◎ 0 - 0 Mamelodi Sundowns ›› (A)

◎ 2 - 0 Dodoma Jiji ›› (A)

◎ 3 - 0 Singida Fountain Gate ›› (A)

◎ 2 - 1 Simba SC

◎ 0 - 0 JKT Tanzania ›› (A)

◎ 1 - 0 Coastal Union

◎ 3 - 0 Tabora United

◎ 1 - 0 Mashujaa FC

◎ 1 - 0 Kagera Sugar

◉ Yanga imekuwa timu ya kwanza msimu huu kucheza mechi tano (5) mfululizo ligi kuu Tanzania bara bila kuruhusu bao.

Iwapo Azam na Simba wakitoka sare leo Yanga atatangaza UBINGWA May 13 dhidi ya Mtibwa Sugar akishinda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live