Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Young Africans Sports Club (Yanga SC) ya jijini Dar es Salaam wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Ni baada ya ushindi wa jumla ya mabao 10-0 dhidi ya Vital'O FC kutoka nchini Burundi katika mchezo wa hatua ya awali.
Mechi ya PILI; Full - Yanga 6 - 0 Vital'O
⚽️ Pacome Zouzoua (Pen) — dakika 13'
⚽️ Clement Mzize ›› Assist ya Chama — dakika 48'
⚽️ Clatous Chama — bao dakika ya 50'
⚽️ Prince Dube ›› Assist ya Chama — 71'
⚽️ Aziz Ki ›› Assist ya Chama — dakika ya 79'
⚽ Mudathir Yahya ›› Assist ya Chama dakika ya 84.
MECHI YA KWANZA; FULLTIME: VITAL'O 0 ???? 4 YANGA SC
⚽ Prince Dube
⚽ Clatous Chama
⚽ Clement Mzize
⚽ Stephanie Aziz Ki
Aggregate - 10-0.
Yanga waweka rekodi ya kufunga magoli mengi Preliminary round 24|25.
⚽ 10 - Young Africans - Agg +10
⚽ 9 - Pyramids - Agg +8
⚽ 7 - Raja Casablanca - Agg +6
⚽ 5 - Gormahia - Agg +3
⚽ 5 - Dekadaha - Agg +1
⚽ 4 - MC Alger - Agg +4
⚽ 4 - Sagrada Esperança - Agg +4
⚽ 4 - Orlando Pirates - Agg +4
⚽ 3 - FAR Rabat +1
⚽ 3 - CR Belouizdad - Agg +3
⚽ 3 - Red Arrows - Agg +1
⚽ 3 - US Monastir - Agg +3
⚽ 3 - ASKO de Kara - Agg +1
⚽ 3 - CBE - Agg +1
⚽ 2 - Al-Hilal Sudan - Agg +1
⚽ 2 - Samartex - Agg +2
⚽ 2 - Al Merreikh - Agg +2
⚽ 2 - Enugu Rangers - Agg +1
Jumla timu (59) zilicheza Preliminary round, timu (5) hazikucheza.
Hii ni kutokana na kanuni mpya ambayo inataka timu (5) pekee badala ya (12) za juu kwenye ranks za (CAF) kutoshiriki Preliminary round.
➜ 1 - Al-Ahly Cairo
➜ 2 - Esperance de Tunis
➜ 4 - Mamelodi Sundowns
➜ 8 - Petro Atletico
➜ 9 - TP Mazembe
Petro Atletico na TP Mazembe hazikushiriki Preliminary kwa sababu anayeshika nafasi ya (3) Zamalek yuko shirikisho na (5) Wydad hayupo kabisha kwenye michuano ya (CAF).
Champions league fixture :
CBE → Young Africans
Dekadaha → Esperance
Gormahia → Al-Ahly Cairo
APR → Pyramids
Mbabane → Mamelodi
Maniema → Petro Atletico
Red Arrows → TP Mazembe
Jwaneng → Orlando Pirates
Enugu → Sagrada Esperança
Samartex → Raja Casablanca
San Pedro → Al Hilal SC
US Monastir → MC Alger
ASKO de Kara → Djoliba
Stade d'Abidjan → Milo FC
Douanes → CR Belouizdad
FAR Rabat → Al Merreikh.
Washindi wa Jumla watatinga hatua ya makundi Champions League.
Key ➜ Nafasi zao za ubora (CAF).