Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga huenda akakutana na miamba hawa robo fainali

Yanga Bilioni 2 CAF Yanga huenda akakutana na miamba hawa robo fainali

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka sasa katika Klabu Bingwa Afrika ni timu mbili tu (2) ambazo zinasubiriwa kufuzu ili ziungane na 6 zilizotangulia ili kukamilisha idadi ya timu 8 kukamilisha hatua ya robo fainali.

Mpaka sasa bado timu (2) hazijafuzu robo fainali CAF-CL kukamilisha timu nane (8).

Kundi (A)

1. Alama 10 — TP Mazembe ☑️

2. Alama 10 — Mamelodi ☑️

3. Alama 04 — Nouadhibou

4. Alama 04 — Pyramids

Kundi (B)

1. Alama 11 — ASEC Mimosas ☑️

2. Alama 06 — Simba SC

3. Alama 06 — Wydad Athletic

4. Alama 04 — Jwaneng Galaxy

Kundi (C)

1. Alama 09 — Petro Atletico ☑️

2. Alama 08 — Esperance

3. Alama 05 — Al-Hilal

4. Alama 04 — Etoile du Sahel

Kundi (D)

1. Alama 09 — Al-Ahly ☑️

2. Alama 08 — Young Africans ☑️

3. Alama 05 — CR Belouizdad

4. Alama 04 — Medeama

Timu zilizofuzu mpaka sasa;

1. Young Africans SC

2. TP Mazembe

3. Mamelodi Sundowns

4. ASEC Mimosas

5. Petro Atletico

6. Al-Ahly Cairo

7. ________

8. ________

Kama msimamo wa makundi ukibaki kama ulivyo Yanga SC watakutana na moja ya timu hizi hatua ya Robo fainali CAF-CL.

TP Mazembe

ASEC Mimosas

Petro Atletico

Yanga wanaongoza kwa idadi ya mabao ligi kuu Tanzania, lakini pia mpaka sasa wanaongoza kwa mabao ya kufunga kwenye group stage CAF-CL katika magroup yote.

Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa idadi kubwa ya mabao Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa na mabao 9 na ndio timu pekee iliyofikisha idadi hiyo ya mabao katika hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live