Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga hawakustahili kupata hata alama moja kwa Al Ahly

Al Ahly Yanga Ms Yanga hawakustahili kupata hata alama moja kwa Al Ahly

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa mpira wa miguu Master Tindwa amesema, Yanga hawakustahili hata kupata alama moja dhidi ya Al Ahly.

Mchambuzi huyo amesema Yanga walipaswa kufungwa na si matokeo ya sare waliyoyapata jana kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

“Yanga hawakustahili kupata hata hii alama moja ,Al Ahly walistahili kushinda kwa sababu walitawala mchezo hasa kipindi cha pili na leo Nyota wa mchezo ni Djigui Diarra ,saves zake tatu ndio ambazo zimewaweka Yanga mchezoni“

“Mimi silaumu kwa sababu hii inaonesha mambo mawili, Al Ahly wameonesha ukubwa wao na Yanga wameonesha udogo wao kwenye mashindano haya ya kimataifa.“

Chanzo: www.tanzaniaweb.live