Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga haina washambuliaji hatari kama Simba - Prisca

Maxi Nzengeli X Baleke Yanga haina washambuliaji hatari kama Simba - Prisca

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC.

Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama wa Simba kutokana na ubora wao basi wangekuwa hatari sana.

“Mtakubaliana na mimi Yanga ya Gamondi inakosa washambuliaji hatari kama walionao Simba kwa sasa hivi ,mtu kama Baleke kwa nafasi zilizotengenezwa na Yanga tungekuwa tunazungumza kitu tofauti na hiki tunachokisema sasa “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live