Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga chukueni huyu mwamba

Andrew Andy Boyeli Andrew 'Andy' Boyeli.

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga chukueni huyu dogo anaitwa, Andrew 'Andy' Boyeli ana umri wa miaka (22), ni Raia wa Dr Congo.

Huyu bwana mdogo alisajiliwa dirisha dogo na klabu Power Dynamos baada ya Musonda kwenda Yanga akiwa na magoli (11).

Alisajiliwa dirisha dogo akiwa na magoli (5), akafunga magoli (13) katika michezo (12) akiwa Power Dynamos na kufikiisha jumla ya mabao (18) plus (06) Assists.

Akaisaida Dynamos kutwaa Ubingwa wao wa kwanza baada ya kusubiri kwa miaka 10+.

◉ 22/23 — Mchezaji bora (MVP)

◉ 22/23 — Top scorer (⚽18 +06)

◉ 22/23 — Best player of the players.

Marketing value rate — Tsh milioni 350.

Mpunga si umeingia chukueni huyu dogo mumuongezee winga (1) wa maana.

Msuva, Lilepo, Diakite nakadharika kisha mtanishukuru baadae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live