Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga bila Aucho michezo mitatu watatoboa?

Aucho X Aziz KI Yanga bila Aucho michezo mitatu watatoboa?

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Uganda Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya laki tano na bodi ya Ligi kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union Ibrahim Ajibu.

Yanga pia imekutana na rungu la Million 5 kwa kosa la kuingilia geti lisilo rasmi wakati wa mchezo dhidi ya Simba huku Simba ikitozwa Million 1 kwa kosa la wachezaji wake kuchelewa kutoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

Je, Yanga bila Aucho itatoboa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: