Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Zougrana kimeeleweka

Mohamed Zougrana 6.jpeg Yanga, Zougrana kimeeleweka

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano na upande wa mchezaji Mohammed Zougrana raia wa Ivory Coast baada ya kukamilika kwa mazungumzo na klabu yake ya Asec Mimosas

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zinaeleza kuwa, Mohammed Zougrana mwenye umri wa miaka 20 amekubali kujiunga na klabu ya Yanga SC.

Hata hivyo, uongozi wa Yanga upo tayari kukamilisha usajili huu kwa gharama yeyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: