Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga: Usajili wa dirisha dogo tumeshamaliza

Hersi X Gamondi Usajili Yanga: Usajili wa dirisha dogo tumeshamaliza

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans, Ally Kamwe amesema timu hiyo tayari imekamilisha kwa kiwango kikubwa usajili wa wachezaji wanaowahitaji katika mlango wa dirisha dogo.

Kamwe amewafahamisha mashabiki wa soka na wanazi wa klabu hiyo kuwa klichobaki ni kusubiri wakati ufike ili kuwatangaza wachazaji hao wapya ambao hakuja idadi yao, timu wanazotoka wala nchi.

Usajili wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa mwazoni mwa Desemba mwaka huu kwa ajili ya timu kufanya maboresho kwenye vikosi vyao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live