Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga: Tutafanya vizuri Tunisia

Ally Kamwe 10 K Ticket Ally Kamwe

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wana uhakika watafanya vizuri katika mchezo wa marudiano dhidi ya Club Africain ya Tunisia na kusonga mbele katika hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Barano Afrika.

Mchezo wa marudiano kati ya Yanga na Club Africain utachezwa Jumatano ijayo (Novemba 9, 2022) nchini Tunisia baada ya mchezo wa kwanza kutoa sare ya bao 0-0 katika DImba la Mkapa.

“Tunakwenda Tunisia tukiamini tuna nafasi ya kufanya vizuri dakika 90 za kule. Ni mpira wa miguu, lolote linawezekana. Tumefanya vibaya uwanja wa nyumbani, tunaweza kujiuliza kwenye mchezo wa ugenini,” amesema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live