Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Straika wa mabao huyu hapa..!

Ranga Chivaviro Gh.jpeg Mshambuliaji wa klabu ya Kaizer Chiefs raia wa Afrika Kusini Ranga Chivaviro

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Kaizer Chiefs raia wa Afrika Kusini Ranga Chivaviro (30) huenda akatimka kikosini humo kutokana na kutopata nafasi ya kutosha ya Kucheza.

Mshambuliajiaji huyo wa zamani wa klabu ya Marumo Gallants amekuwa hana furaha tangu kuanza kwa msimu huu na ikifahamika kuwa huenda akaomba kutoka kwa Mkopo ama kuuzwa moja kwa moja kwa klabu itakayo mhitaji.

Klabu ya Yanga ilifanya jitihada za kutaka kumsajili msimu uliopita lakini Straika huyo akaamua kutikmia Kaizer.

Je unadhani bado ana nafasi mitaa ya Jangwani? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: