Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Simba wanasubiri, cheki takwimu za Mtibwa Ligi Kuu

Mtbwa Azipiku Cheki takwimu za Mtibwa Ligi Kuu zinavyowakimbiza Vigogo

Fri, 18 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Bara ilisimama kwa muda ili kupisha Michezo ya Kombe la Azam Sports Federation hatua ya 16 Bora.

Tayari timu nane (8) zilizoingia hatua ya Robo Fainali zimeshapatikana na sasa Ligi Kuu inarudi katika ratiba yake.

Wakati Ligi Kuu Bara ikitarajiwa kuingia mzunguko wa 15, hizi ndizo timu zenye magoli mengi ya penati Ligi Kuu ya NBC hadi sasa wakiongozwa na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro.

Tazama hapa Chini Kuona Timu zilizofunga magoli mengi ya Penati;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live