Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Simba 'notes' zipo Asec Mimosas

Simba X Yanga CAF Yanga, Simba 'notes' zipo Asec Mimosas

Sat, 16 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuwa klabu ya Asec Mimosas inauza wachezaji wake bora kila msimu ila timu yao bado haitetereki katika michuano ya Kimataifa.

Tangu kuondoka kwa kina Aziz Ki hadi hawa wakina Pacome Zouzoua ila ila jamaa wako imara,msimu uliopita walicheza nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho na msimu wapo Robo Fainali CAFCL.

Moja ya kitu ambacho Asec wanafanikiwa kuandaa wachezaji vijana lakini pia wana jicho katika usajili. Angalia msimu huu katikati wamemuuza Sankara Karamoko kwenda Austria.

Unadhani Simba na Yanga wanaweza kuuza mchezaji ambaye ni muhimu katikati ya msimu? Jibu ni hapana.

Funzo ni Asec Mimosas wanajua kuandaa wachezaji wadogo na pia wana Scout ya maana katika vilabu vyao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: