Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Simba kuwafahamu wapinzani wao CAFCL. CAFCC kesho

CAF CC CL 1108x640 Simba, Yanga kuwafahamu wapinzani wao CAF kesho

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika inatarajiwa kufanyika kesho Alhamisi Julai 11, 2024 Cairo nchini Misri.

Yanga SC, Azam FC, Coastal Union na Simba SC zitawajua wapinzani wao watakaokutana nao katika Mashindano mawili Makubwa Barani Afrika.

Yanga SC na Azam FC ndio Wawakilishi wa Tanzania Klabu bingwa barani Afrika huku Simba SC na Coastal Union ya Tanga zikiwa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho.

Kwa upande wa Burundi, Vital’O FC ndio watakaoiwakilisha nchi hiyo kwenye Klabu Bingwa huku Rukinzo FC timu ya Polisi wao wakiwa katika Mashindano ya Shirikisho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live