Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Princess yaichapa Alliance Girls 'mkono'

Yanga Princess Msk Yanga Princess yaichapa Alliance Girls 'mkono'

Fri, 6 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya wanawake Yanga Princess imeondoka na ushindi mnono wa mabao 5-2 dhidi ya Alliance Girls ya Mwanza leo Ijuma, Januari6, 2023..

Mabao ya Yanga Princess kwenye mchezo huo yamefungwa na Maimuna Hamis, maarufu kwa jina la Mynaco, nahodha Amina Bilali, Wincate Kinyua na Aniella Uwimana aliyefunga mabao mawili.

Mabao ya Alliance Girls yalifungwa na Alia Fikiri na Fatuma Hassan kwa mkwaju wa penalti.

Ushindi huo umeifanya Princess kufikisha pointi 7 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake na kupanda kwenye nafasi ya 3 katika msimamo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live