Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Princess washusha Straika toka Ghana

Faiza Sedu.jpeg Faiza Seidu

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga Princess imemtangaza mshambuliaji Faiza Seidu raia wa Ghana kutumikia klabu hiyo kwa msimu huu 2023/2024.

Klabu ya Yanga Princess imemtangaza mshambuliaji Faiza Seidu raia wa Ghana kutumikia klabu hiyo kwa msimu huu 2023/2024. Katika Ligi Kuu ya Ghana kwa upande wa wanawake Faiza ameshika nafasi ya tatu ya ufungaji akimaliza msimu na mabao 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: