Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Princess na JKT Queens ni ardhi na mbingu - Ahmed Ally

Yanga Princess Na JKT Queens Ni Ardhi Na Mbingu   Ahmed Ally Yanga Princess na JKT Queens ni ardhi na mbingu - Ahmed Ally

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Semaji la CAF, Ahmed Ally limesema, ubora walionao JKT Queens na Yanga Princess ni ardhi na mbingu.

Ahmed ametoa kauli hiyo jana Desemba 12, 2023 mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Simba Queens na JKT Queens ambapo Simba waliibuka na ushindi wa penalti 5-4.

"Huwezi kuwalinganisha hawa JKT Queens na nyuma mwiko Princess (Yanga Princess), hawa JKT ni bora zaidi na hawa sisi ndio washindani wetu kwenye ligi," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live