Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Namungo vita ya alama tatu

Fnp9ldpWAAI7itl Yanga, Namungo vita ya alama tatu

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga watamenyana kesho dhidi ya Wauaji wa Kusini Namungo kwenye mchezo wao wa 22 huku mabingwa hao watetezi wa Ligi kuu ya NBC wakihitaji kutetea taji lao kwa mara ya pili.

Yanga wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kushinda mechi zao 18, sare mbili na wakipoteza mara moja pekee tuu wakiwa na pointi 56 hadi sasa. Wameshinda mechi tano mfululizo.

Huku kwa upande wa Namungo wao wanashikilia nafasi ya sita wakishinda mechi zao nane, sare tano na kupoteza mara nane, na kujikusanyia pointi 29 pekee. Mechi tano za mwisho wameshinda tatu, sare moja na wamepoteza mara moja.

Vijana wa Nabi wanahitaji ushindi hapo kesho ili waweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya msimamo pia lakini pia wamuachez mbali mpinzani wao Simba ambao mpaka sasa wamemuacha pointi 6.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live