Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Mtibwa wametoa elimu katika Soka letu

Hersiiiii Yanga, Mtibwa wametoa elimu katika Soka letu

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Upande wa Uwekezaji wa soka la Vijana , Yes Mtibwa sugar wametoa funzo na darasa juu ya soka la Vijana na wameeleweka

Yanga SC kwenye soka la wakubwa kuanzia ndani ya ligi na kimataifa wametoa elimu, pia kwenye uwekezaji wa Rasilimali watu wamefaulu pakubwa sana.

Tuendelee kuifaidi elimu yao kwa kuiishi na kuipractise, Tutafika badala ya kufumbia macho kile walichokifanya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: