Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Mtibwa ilikuwa bato ya kibabe

Yanga Shan2 Data Yanga, Mtibwa ilikuwa bato ya kibabe

Sun, 21 Feb 2021 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

Shoo ya kipindi cha pili, ilikuwa ya jasho si Yanga wala Mtibwa Sugar, zilikuwa zinapambana kupata bao.

Kuna uwezo wa wachezaji binafsi na bato zilizobamba, wachezaji kupambania timu zao kupata pointi tatu, mchezo huo ulipigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi ya Februari 20, 2021 ambapo Yanga imeijipatia pointi tatu baada ya kushinda bao 1-0 lililofungwa na CarlosĀ Fernandez 'Carlinhos'.

Mwanaspoti Online linakuchambulia bato za wachezaji waliotoana jasho katika harakati zake za kuwania pointi tatu.

Kisinda vs Baba Ubaya

Beki namba tatu wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid alipata kazi kubwa ya kudhibiti mbio za Miongoni Tuisila Kisinda aliyekuwa na kasi ya kwenda langoni kwao.

Chanzo: mwanaspoti.co.tz