Wed, 24 Jul 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Uongozi wa Klabu ya Young Africans haujapokea ofa yoyote Juu ya kiungo wao Raia wa Congo DR Maxi Nzengeli.
Pia, uongozi wa klab ya Yanga umethibitisha kuwa kwasasa hakuna Mchezaji atakayetolewa kikosini kama yupo kwenye Mipango ya Mwalimu (Gamondi).
Chanzo Kimeripoti; "Ni kweli hata sisi tumeziona taarifa hizo kwenye Mitandaoni kama zilivyo ila Wajue hakuna Mchezaji Yeyote atakayeondoka ndani ya klab yetu kama yupo kwenye Mipango ya Mwalimu Gamondi."
Chanzo: www.tanzaniaweb.live