Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Dube imeisha hiyo!

Dube Wakili Yanga, Dube imeisha hiyo!

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Azam.

Yanga itamtangaza rasmi mshambuliaji Prince Dube baada ya msimu kumalizika na itahusika kwenye masuala yote yanayomuhusu mchezaji huyo kwa mujibu wa kimkataba.

Kutokana na hilo Prince Dube atamalizia pesa zilizobaki kutokana na kutoutumikia mkataba na fidia ya mkataba binafsi na Azam na almost 98% kumalizana na klabu ya Azam .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live