Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga, Coastal zamponza Mwamuzi, afungiwa miezi 6

Emmanuel Mwandembwa.jpeg Mwamuzi Emmanuel Mwandembwa

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi wa kati wa mchezo kati ya Coastal Union na Yanga Sc, Emmanuel Mwandembwa amefungiwa miezi sita (6) kufanya kazi ya uamuzi wa mpira wa miguu, kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria 17 za mpira wa miguu jambo lililosababisha ashindwe kumudu mchezo husika.

Mwamuzi wa kati wa mchezo kati ya Coastal Union na Yanga Sc, Emmanuel Mwandembwa amefungiwa miezi sita (6) kufanya kazi ya uamuzi wa mpira wa miguu, kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria 17 za mpira wa miguu jambo lililosababisha ashindwe kumudu mchezo husika. Aidha Kamati ya Undeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta kadi ya njano aliyoonyeshwa mchezaji Semfuko Charles wa Coastal Union baada ya kujiridhisha kuwa mchezaji huyo hakustahili adhabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: