Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yamal Mchezaji Bora Chipukizi EURO 2024

Fe5d78dfb9cf4a6b.jpeg Winga wa Barcelona na Uhispania, Lamine Yamal

Mon, 15 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Barcelona na Uhispania, Lamine Yamal amechaguliwa kuwa mchezaji bora chipukizi wa michuano ya EURO 2024 baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michuano hiyo akifunga bao moja na kutoa pasi saidizi (assist) nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live