Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yahya Zayd afanyiwa upasuaji, nje wiki 6

Yahaya Zaid Upasuaji Kiungo wa Azam FC, Yahya Zaid

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Azam FC, Yahya Zayd, amefanyiwa upasuaji wa goti kutibu tatizo la 'Meniskasi' ya ndani na pembeni.

Upasuaji huo uliofanikiwa, ulifanyika huko Afrika Kusini kwenye hospitali ya Life Vincent Pallotti, jijini Cape Town.

Kwa upasuaji huo, Zayd atakaa nje ya uwanja hadi majuma sita, kabla ya kurudi uwanjani.

Tunamuombea apone haraka na kurudi kwenye majukumu yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live