Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yacouba kurejea kikosini Yanga Mapinduzi Cup

Yacouba Songne Jsk Yacouba Songne

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Yacouba songne ataanza kuwatumikia Wananchi kwenye mashindano ya mapinduzi cup visiwani Zanzibar.

Kocha mkuu wa Yanga, Professor Mohamed Nasreddine Nabi amepanga kumpa nafasi ya kutosha Yacouba Songne kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup kabla hajamrudisha rasmi kwenye kikosi ambacho kinacheza mashindano yote ya ndani na nje.

Katika hatua nyingine, Professor Mohamed Nasreddine Nabi amepanga kuyatumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kama sehemu ya kuiandaa timu kabla ya kuanza michezo ya kimataifa kwenye ngazi ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live