Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xhaka atimka Arsenal

Granit Xhaka Granit Xhaka

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Granit Xhaka amejiunga na Bayer Leverkusen kwa mkataba wa miaka mitano akitokea Arsenal.

Xhaka ametuwa kwa wajerumani hao kwa dau la pauni milioni 25.

Uamuzi wa Arsenal kumuuza Xhaka ni baada ya kukamilisha dili la Declan Rice kutoka West Ham United.

Xhaka alitua Arsenal 2015 akitokea ya Borussia Mönchengladbach nchini Ujerumani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live