Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xhaka apiga mbili Arsenal ikiichapa Wolves 5-0

Granit Xhaka Jj Xhaka apiga mbili Arsenal ikiichapa Wolves 5-0

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mikel Arteta amemalizia vizuri Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Emirates Jijini London.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka mawili dakika ya 11 na 14, Bukayo Saka dakika ya 27, Gabriel Jesus dakika ya 58 na Jakub Kiwior dakika ya 78.

Kwa ushindi huo, Arsenal inamaliza Ligi na pointi 84, nyuma ya mabingwa Manchester City wenye pointi nne zaidi, wakati Wolves wanamaliza na pointi 41 nafasi ya 13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: