Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi kuongeza Mkataba mpya Barcelona

Xavi And Laporta Xavi Hernandez na Rais wa Barcelona, Joan Laporta

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FC Barcelona wanafikiria kumuongezea mkataba mpya Kocha wao Xavi Hernandez baada ya kuonesha mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo tangu akabidhiwe.

Barcelona wanaamini kwamba Xavi ataendelea kuwa kocha katika kipindi chote uongozi wa Rais Joan Laporta.

Mpaka sasa Barcelona wanakamata usukani wa msimamo wa La Liga wakiwa na alama zao 59 baada ya michezo 22 alama 8 dhidi ya mahasimu wao Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live