Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi kumpisha Klopp Barcelona

Klopp X Xavi Xavi kumpisha Klopp Barcelona

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya juzi Barcelona kupokea kichapo cha goli 5-3 kutoka kwa Villarreal uongozi wa timu hiyo unafikiria kuachana na Kocha wao kipenzi cha mashabiki wa Barcelona, Xavi Hernandez mwisho wa msimu.

Baada ya juzi Barcelona kupokea kichapo cha goli 5-3 kutoka kwa Villarreal uongozi wa timu hiyo unafikiria kuachana na Kocha wao kipenzi cha mashabiki wa Barcelona, Xavi Hernandez mwisho wa msimu. Tetesi zinadai kuwa mabosi hao wanafikiria kumpa mikoba Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyetangaza kuachana na timu hiyo ifikapo mwisho wa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live