Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi asimamishwa mechi mbili La Liga

Dsf Xavi asimamishwa mechi mbili La Liga

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya nidhamu ya Laliga imewapiga faini FC Barcelona kiasi Cha €700 na upande wa kocha Xavi Hernandez yeye amesimamishwa kukaa kwenye benchi la ufundi la timu hiyo katika michezo miwili

Kocha huyo ilikuwa akose mechi tatu lakini maamuzi ya kamati ya nidhamu ni kwamba atakosa mechi mbili [Las Palmas na Cardiz ]

Adhabu hii ni baada ya kushindwa kusimamia nidhamu vyema kwenye Mchezo dhidi ya Atlético de Madrid uliomalizika kwa ushindi wa mabao 3-0

Chanzo: www.tanzaniaweb.live