Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi: Tupo tayari kukabiliana na PSG Robo Fainali UEFA

Hata Tukishinda UEFA Lazima Niondoke Barca   Xavi Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez

Sun, 17 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Fc Barcelona Xavi Hernández ameeleza kuhusu droo ya UEFA Champions League ambayo imepangwa hivi karibuni na Chama lake litakipiga dhidi ya Paris Saint Germany (PSG).

“Tunajua kwamba PSG ndiyo inayopewa nafasi kubwa zaidi kwa sababu ya usajili mkubwa ambao walifanya.. “

“Lakini kumbuka sisi tuna historia kwa upande wetu na mataji zaidi yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, sisi ni Barca. Nina uhakika tunaweza kushindana”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live