Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi Simos anavyogeuka dili PSV

Xavi Simons 2223 X Xavi Simos

Sun, 9 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Xavi Simos akiwa na Psv Eindhoven katika mechi nne zilizopita za mashindano yote

Mechi 4

Mabao 3

Pasi za mabao 3

Amehusika katika mabao 6

Akiwa na umri wa miaka 19 na siku 352, amekuwa mchezaji wa pili mdogo zaidi kuifungia Psv Eindhoven bao katika mechi nne mfululizo za nyumbani katika Eredivisie baada ya Ronaldo de Lima aliyefanya hivyo akiwa na miaka 19 na siku 9 October 1995.

Pia amehusika katika mabao 21 katika Eredivisie msimu huu, mengi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote mwenye umri chini ya miaka 20 katika ligi 10 bora za ulaya.

Takwimu zake katika Eredivisie msimu huu hadi sasa

Mechi 28

Dakika alizocheza 2305

Mabao 14

Pasi za mabao 7

Dakika kwa kila bao 165

Chanzo: www.tanzaniaweb.live