Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xavi: Busquets aataendela kukipiga Barcelona

Xavi And Busquets Xavi: Busquets aataendela kukipiga Barcelona

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi kuwa kiungo Sergio Busquets ambaye anahusishwa na kuondoka klabuni hapo Januari ataendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwisho wa mkataba wake.

“Busquets ataendelea kuwa nasi hadi mwisho wa mkataba wake mwezi Juni. Kisha tutaona, itakuwa ni uamuzi wake Mambo yakienda vizuri tutajaribu kumshawishi aendelee kusalia”.

“Nadhani dirisha hili la usajili kwetu litakuwa kimya. Nina furaha sana na kikosi cha sasa.” Amesema Xavi

Kiungo Sergio Busquets anatajwa kutaka kutimkia nchini Marekani na siku chache zilizopita alitangaza kustaafu Timu ya Taifa ya Hispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live