Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Xabi Alonso tatizo jipya soka la Ulaya

Xabi Alonso Kocha wa Bayern Liverkusen, Xabi Alonso

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Bayer Leverkusen,Mhispaniola Xabi Alonso msimu huu amekuwa unbeaten hadi sasa akiwa ameshinda michezo 10 kati ya 11 huku wakiwa kileleni kwa alama 22 na mtaji wa mabao 39.

mechi 11

Ushindi 10

sare 1

mabao 39

Karuhusu mabao 8 tu

Anaongoza kundi lake la Ligi ya Europa akiwa na pointi 6

Chanzo: www.tanzaniaweb.live