Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad yatanguliza mguu mmoja Nusu Fainali AFL

Collage Maker 23 Oct 2023 06 27 AM 7225 Wydad yatanguliza mguu mmoja Nusu Fainali AFL

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wydad Casablanca imeibuka na ushindi wa 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Enyimba katika dimba la Godswill Akpabio mjini Uyo Nigeria kwenye mchezo wa mwisho wa mkondo wa kwanza ya robo fainali ya African Football League.

Wydad Casablanca imeibuka na ushindi wa 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Enyimba katika dimba la Godswill Akpabio mjini Uyo Nigeria kwenye mchezo wa mwisho wa mkondo wa kwanza ya robo fainali ya African Football League. Goli pekee la ushindi la Wydad limefungwa na Yahya Jabrane kwa mkwaju wa penati dakika ya 39.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live