Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad yachezea kichapo 3-1

Wydad Yachezea Kichapo 3 1.jpeg Wydad yachezea kichapo 3-1

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapinzani wa Simba kwenye Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa, Wydad Casablanca, jana Novemba 28, 2023 wamechezea kipigo kizito cha 3-1 kutoka kwa FAR Rabat.

Hiyo ni mechi ya Ligi nchini kwao Morocco, imemalizika na FAR Rabat kuzidi kujisimika kileleni wakiwa na alama zao 20 wakiwa wamecheza mechi 10 huku Wydad wakiwa nafasi ya 7 na alama zao 13.

Kwenye Klabu Bingwa, Wydad ametoka kupigwa tena wikiendi iliyopita na Jwaneng Galaxy 1-0. Kwenye kundi lao Simba SC wapo na Wydad, Jwaneng Galaxy na ASEC Mimosas.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live