Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad watinga Fainali African Football League

Wydad Final AFL.jpeg Wydad watinga Fainali African Football League

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Wydad Casablanca kutoka Morocco imefanikiwa kutinga Fainali ya Michuano ya African Football League baada ya kuiondoa Eperance De Tunis kutoka Tunisia.

Wydad inakwenda Fainali kwa ushindi wa penati 5-4 baada ya kufungwa bao 1-0 ndani ya dakika 90 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 1-1.

Wydad anamsubiri mshindi kati ya Al Ahly na Mameledi utakaopigwa majira ya saa tatu usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live