Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad washusha Straika la magoli

Sidi Bouna Amar Sidi Bouna Amar

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Mauritania, Sidi Bouna Amar(25) kutoka klabu ya FC Nouadhibou.

Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Mauritania, Sidi Bouna Amar(25) kutoka klabu ya FC Nouadhibou. Sidi alikuwa na kiwango bora sana kwenye mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Ivory Coast hali iliyowavutia wakali hao wa Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live