Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad wakiwa kwao wachezea kichapo cha Jwaneng Galaxy

Wydad Jwaneng A0000 Wydad wakiwa kwao wachezea kichapo cha Jwaneng Galaxy

Sun, 26 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba SC ikilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Asec Mimosas, vigogo wa Morocco, Wydad wakiwa nyumbani Mohamed V, Casablanca wamekubali kichapo cah 1-0 dhidi ya Wababe wa Simba SL, Jwaneng Cralaxy ya Botswana katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

FT: Wydad 0-1 Jwaneng ralaxy

Sesinyi - dakkka ya 33'

MSIMAMO KUNDI B

1. Jwaneng (3)

2. Asec Mimosas (1)

3. Simba SC (1)

4. Wydad AC (0)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live