Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad waifuata Esperance Nusu Fainali AFL

Enyimba Vs Wydad FC Wydad waifuata Esperance Nusu Fainali AFL

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wydad Casablanca imetinga hatua ya nusu fainali ya African Football League kufuatia ushindi wa jumla wa 4-0 dhidi ya Miamba ya Nigeria, Enyimba FC katika dimba la Mohamed wa 5, Casablanca.

Magoli ya Wydad katika mchezo huo yamefungwa na Ayoub El Amloud 4'Jamal Harkass 38', Attiyat Allah 43'.

Wydad ilishinda 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza huko Nigeria kabla ya kushusha kipondo cha 3-0 nyumbani na kuifuata Esperance ya Tunisia kwenye nusu fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live