Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad wahamia kwa Pitso

Pitso Mosimane Loccc Wydad wahamia kwa Pitso

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Wydad AC ya Morocco ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na kocha wa zamani wa Al Ahly na Mamelodi Sundwons Pitso Mosimane ambaye yupo nchini Saudi Arabia kunako klabu ya Abha ya ligi kuu Saudia.

Klabu ya Wydad AC ya Morocco ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na kocha wa zamani wa Al Ahly na Mamelodi Sundwons Pitso Mosimane ambaye yupo nchini Saudi Arabia kunako klabu ya Abha ya ligi kuu Saudia. Pitso ambaye mwezi Januari alijiunga na klabu hiyo ya Saudia hadi sasa amepata matokeo ya kawaida kwani kwenye michezo mitano kashinda miwili na sare moja na kupoteza miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live