Mabingwa wa Afrika, Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mohamed V Jijini Casablanca usiku wa Jana wakati wanaanza safari ya kuja Dar es Salaam kumenyana na wenyeji, Simba SC katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa BenjamÃn Mkapa.