Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad achezea kichapo nyumbani dhidi ya Jwaneng Galaxy

IMG 6339.jpeg Wydad achezea kichapo nyumbani dhidi ya Jwaneng Galaxy

Sun, 26 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba SC ikilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Asec Mimosas, Vigogo wa Morocco, Wydad wakiwa nyumbani Mohamed V, Casablanca wamekubali kichapo cah 1-0 dhidi ya Wababe wa Simba SC, Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Goli la pekee na la ushindi la timu ya Jwaneng Galaxy katika mchezo huo limefungwa na Sesinyi dakika ya 33'.

Mara baada ya mchezo huo vyombo vya habari kutoka nchini Morocco vimeishutumu timu ya Jwaneng Galaxy kutumia ushirikina katika mchezo huo

MSIMAMO KUNDI B 1. Jwaneng (3) 2. Asec Mimosas (1) 3. Simba SC (1) 4. Wydad AC. (0)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live