Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad, Mamelodi hakuna mbabe, shughuli kumalizika Sauzi

Mamelodi 2 Reds Mchezo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana

Sun, 14 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Nusu Fainali ya pili kati ya wenyeji Wydad Casablanca dhidi ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini ulimalizika kwa sare tasa ya bila kufungana baina ya miamba hiyo.

Mchezo huo uliopigwa nchini Morocco uliwashuhudia Mamelodi wakimaliza mchezo wakiwa pungufu baada ya wachezaji wao wawili kuoneshwa kadi nyekundu.

Mchezo wa marudiano wiki ijayo huko Afrika Kusini utaamua timu ipi itafuzu fainali ya #CAFCL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live