Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wout Weghorst atua Man United

Wout Weghorst 111 Wout Weghorst

Fri, 13 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imekamilisha usajili wa mshambuliaji Wout Weghorst kwa mkataba wa mkopo mpaka Mwisho wa msimu (hakuna kifungu cha Manchester United kumchukua jumla).

Manchester United imekamilisha usajili wa mshambuliaji Wout Weghorst kwa mkataba wa mkopo mpaka Mwisho wa msimu (hakuna kifungu cha Manchester United kumchukua jumla). Weghorst amekamilisha vipimo vya afya na tayari mkataba umesainiwa bado kutangazwa rasmi na klabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live