Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Winga TP Mazembe awapa Yanga siri ya ushindi

Ushindi Chico Yanga Chico Ushindi

Fri, 17 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa zamani wa Yanga na TP Mazembe, Chiko Ushindi Wakubanza, amesema kama Yanga watapambana zaidi na kucheza kwa moyo mmoja, basi watapata matokeo mazuri mbele ya TP Mazembe, huku akibainisha kwamba.

Ushindi ambaye aliitumikia Yanga msimu uliopita kwa mkopo akitokea TP Mazembe, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Don Bosco ya nchini DR Congo ambayo ipo chini ya TP Mazembe.

Akizungumza Ushindi alisema kama wachezaji wa Yanga watajituma na kucheza kwa umoja mkubwa, basi wanayo nafasi ya kupata matokeo ya ushindi mbele ya TP Mazembe, ambayo imekuwa ikipata shida ugenini katika

Chanzo: www.tanzaniaweb.live