Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wikiendi hii yamoto mechi 3 za Kimataifa kurindima

Wikiendi Hii Yamoto Mechi 3 Za Kimataifa Kurindima Wikiendi hii yamoto mechi 3 za Kimataifa kurindima

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika @azamfcofficial na @singidafountaingate wikiendi hii wataanza kuisaka hatua ya makundi ya kombe hilo kwa kucheza mechi za awali mkondo wa kwanza.

Azam wanatarajia kumenyana na Bahir Da Kenema Jumapili Agosti 20, 2023 huku Singida wao wakicheza na JKU SC hapo kesho Ijumaa.

Mechi nyingine kali wikiendi hii itakuwa ni ya Yanga SC dhidi ya Ali Sabieh Jumapili Agosti 20, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live