Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wiki ya maamuzi magumu kwa Wananchi, mko tayari?

Injinia Hersiiii Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Msimu wa soka 2023/24 ukitamatika Mei 2 kwa Fainali ya Kombe la Shirikisho iliyopigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Ni Ishara kuwa kila Timu inaanza mchakato wa kufanya maamuzi ya kupanga mipango ya msimu ujao 2024/25.

Hivyo hivyo kwa Klabu ya Yanga ambayo imeonekana kuwa katika Wakati mgumu kutokana na kuhitaji kuweka mipango sawa ili kuendeleza mafanikio waliyoyapata katika msimu uliopita.

Hatma ya Staa ndani ya kikosi hicho, Aziz KI Hatma ya Kocha Miguel Gamondi na hatma ya Beki Bakari Mwamnyeto inatarajiwa kujulikana wiki hii baada ya mikataba yao kumalizika ndani ya Klabu.

Macho na masikio ya Wanayanga hici sasa yapo Jangwani kutaka kujua taarifa za watu hao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live