Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

West Ham yamsaka mbadala wa Decline Rice

Amadou Onana Amadou Onana

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa West Ham United, David Moyes amewasilisha majina ya viungo wawili ambao anatamani wasajiliwe katika dirisha hili ambapo kuna yule wa Manchester United na Scotland, Scott McTominay na kiungo wa Everton na Ubelgiji, Amadou Onana.

Kocha wa West Ham United, David Moyes amewasilisha majina ya viungo wawili ambao anatamani wasajiliwe katika dirisha hili ambapo kuna yule wa Manchester United na Scotland, Scott McTominay na kiungo wa Everton na Ubelgiji, Amadou Onana. Mastaa hao wanasajiliwa kwa ajili ya kuboresha eneo la kiungo ambalo linaonekana kuwa litapwaya baada ya Declan Rice kuondoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live